Contestants 2020
Mwanafunzi katika chuo cha utumishi wa umma cha Tabora akisomea maswala ya utunzaji nyaraka na kumbukumbu . Hoyce anawakilisha kanda ya kati Mkoa wa Tabora.