Miss Tanzania Miss Tanzania

Hoyce Bakanoba 20

Contestants 2020

Mwanafunzi katika chuo cha utumishi wa umma cha Tabora akisomea maswala ya utunzaji nyaraka na kumbukumbu . Hoyce anawakilisha kanda ya kati Mkoa wa Tabora.